Loading...

MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA.

Loading...
MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA.
link : MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA.

soma pia


MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA.



Mwambawahabari 
Na. John Luhende 
UMOJA  WA VIJANA (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam,  imeandaa mfumo mpya  wa Kanzidata(Databases) utakakaosaidia  kuwatambua Wana chama  na vijana  kupata taarifazao.

Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi kompyuta mapakato(Laptop) 20 zitakazo saidia kuanzishwa kwa mfumo huo Mjumbe wa UVCCM Wilaya Temeke Gwantwa Alex Mwakijungu , amesema kuwa kuanza kwa mfumo huo utasaidia Sana Jumuiya ya  vijana wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, kutunza kumbukumbu zake.


"Mimi nime amua kutoa hizi kompyuta ili ziweze kusaidia kuanza kwa mfumo huu  kama alivyoshauri Mwekiti CCM Taifa Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa vijana tuwe wabunifu na kusaidia chama naamka ni hiki nilichukua kitoa kitasaidia kwa kiasi fulani" Alisema Gwantwa.

Naye Katibu wa uhamasishaji na chipukizi mkoa wa Dar es Salaam, Saady khimji amemshukuru Mjumbe huyo b kwa msaada huo na kusema kuwa msaada huo umekuja wakati mwafaka unapokuwa anzishwa mfumo  mpya na ametoa tahadhali kwa vijana wa mkoa wa Dar es Salaam kutoshiriki maandamano haramu yanayo andaliwa katika mitandao ya kijamii.
Adelard Kiliba kutoka kampuni  GPITG (LTD ) ambaye ni mtaalamu wa mfumo huo amesema Mfumo huo utajulikana kama DAUDAS utasaidia pia kuweka kumbukumbu ya nguvu kazi na lasilimali watu,na utakuwa na mfumo wa kihasibu na Wanachama watafanya malipo ya Ada yatafanyika humo humo na unatarajiwa kuanza kutumika April mwaka huu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa UVCCM Ilala Hamad Pazi, Amesema sasa katika mkoa wa Dar es Salaam hakutakuwa na utata tena wakati wa Uchaguzi na hakutakuwa na watu watakao gushing umri kwa kutaka nafasi za madaraka maana mfumo huu  hautaruhusu hayo. 



Hivyo makala MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA.

yaani makala yote MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mwakijungu-aipigajeki-uvccm-mkoa-wa-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWAKIJUNGU AIPIGAJEKI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM, KUANZISHA MFUMO MPYA WA KANZIDATA."

Post a Comment

Loading...