Loading...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI

Loading...
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI
link : SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI

soma pia


SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameitaka Bodi ya Usajili ya Wakandarasi nchini (CRB) kuwachukulia hatua kali wakandarasi wote walioihujumu Serikali katika miradi ya maji inayotekelezwa nchini.
Naibu Waziri Aweso ametoa tamko hilo mara baada ya kufanya kikao na bodi hiyo na kutaka ufanyike uchunguzi wa kwa miradi yote ambayo utekelezaji wake umegibikwa na utata na wakandarasi wote watakaobainika kutekeleza miradi hiyo wachukuliwe hatua za kisheria.
Amesema hatuwezi kufika popote tukiendelea kuwalea wakandarasi wasio na uwezo ambao wamekuwa kikwazo katika utekelezaji wa miradi ya maji, hatutawaendekeza tena wakandarasi wa aina hii, kwa kuwa wamekuwa chanzo cha kukwamisha juhudi za Serikali katika kuiletea nchi maendelo.
‘‘Naomba mfanye uchunguzi wa kina katika miradi yote ya maji iliyohujumiwa nchini, wizara yangu itawapa ushirikiano wa kutosha ili tuweze kuwabaini wakandarasi waliohusika na ikithibitika kuwa ni kweli wachukuliwe hatua kali na ikibidi wafutiwe usajili kabisa’’, alisema Aweso.
Hata hivyo, amesema wako pamoja na wakandarasi wazawa na watarajie ushirikiano wa dhati kutoka kwa Serikali. Tutawapa kipaumbele wakandarasi wazalendo kwenye miradi ya Serikali na walio waaminifu tutawapa kazi zaidi, tutasimamia na kuhakikisha fedha zao zinalipwa kwa wakati ili watimize majikumu yao kwa ufanisi.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akizungumza katika kikao cha pamoja na Wakurugenzi wa Bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB) katika ofisi za bodi hiyo, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CRB, Joseph Tango na wajumbe wengine wa CRB.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiangalia bomba la maji lililopo kwenye karakana ya Bohari Kuu ya Maji, nyuma yake ni Boharia Mkuu, Crepin Bulamu.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiwa kwenye karakana ya Bohari Kuu ya Maji iliyopo Boko, jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI

yaani makala yote SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/serikali-kuwachukulia-hatua-kali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI WAKANDARASI WOTE WALIOHUJUMU MIRADI YA MAJI"

Post a Comment

Loading...