Loading...

SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI

Loading...
SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI
link : SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI

soma pia


SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI


 Mwambawahabari
Na. John Luhende
Shekh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum, amemtaka Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto kuendelea kutumika katika chama chake cha Wananchi CUF ili kuwatia moyo wananchi waliomchagua.
 Akizungumza kwa niaba ya Mufti mkuu wa Tanzania Shekh Alhadi amesema kumekuwa na kawaida ya chama cha  Mapinduzi CCM, kuwachukua wanasiasa wanaofanya vizuri katika jamii ili waweze kuwa Wana CCM.

"Ndugu Naibu Meya pole Sana kwa msiba uliokupata  ila na kuomba jambo moja  tulikuwa huko uliko usiache wenzako  wamekupigania Sana kupata kiti hicho utakuwa umewavunja moyo  huenda CCM  wanameshaanza kukuvuta  tafadhili tulia na wenzako" Alisema Shekh Alhadi.

Kauli hiyo imekuja baada siku za hivi karibuni wanasiasa wa vya vya upinzani kuvihama vyama vyao na kujiunga naChama cha Mapinduzi  CCM jambo ambao limeleta s into fahamu kuhusu uhai wa vyama vya upinzani nchini.

Msiba huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa, akiwemo  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Sophia Mjema , madiwani wa Manispaa ya Ilala ndugu Jamaa na marafiki  kutoka ndani na nje ya Jiji la Dar es Salaam, na marehemu atasafirishwa kwenda Kisarawe kijiji cha Kauzeni mkoani Pwani kwa ajili ya maziko.






Hivyo makala SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI

yaani makala yote SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/shekh-mkuu-dsm-atoa-neno-la-kunusuru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHEKH MKUU DSM ATOA NENO LA KUNUSURU UPINZANI"

Post a Comment

Loading...