Loading...
title : TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0
link : TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0
TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA baina ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umemalizika kwa Tanzania kuondoka na ushindi wa goli 2-0 mechi iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo iliyoanza kwa kasi kila upande wakitaka kupata goli la kuongoza ambapo mpaka kufika dakika ya 45 na kwenda mapumziko hakuna timu iliyoona mlango wa mwenzake.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi Tanzania wakifanya mabadiliko kwa kumtoa Mohamed Issa 'Banka' na kuingia Ibrahim Ajib kwa ajili ya kwenda kuongeza nguvu katika safu ya kiungo.
Mabadiliko yaliweza kuleta tija ikiwa ni pamoja na kutoka kwa Himid Mao na kuingia Mudathir Yahya kuliweza kuwadhoofisha DR Congo na kupitia dakika ya 75 Mshambuliaji wa kimataifa anayekipiga kwenye kikosi cha Genk nchini Ubelgiji Mbwana Samata anaipatia Tanzania goli la kwanza akimalizia Krosi iliyopigwa na Shiza Kichuya.
DR Congo wakiendeleza kutafuta goli la kusawazisha ila katika dakika ya 88 Shiza Ramadhan Kichuya anaipatia Tanzania goli la pili na la ushindi na kuzidi kupeleka kilio katika timu ya DR Congo.

Mashabiki wa Taifa Stars wakionesha Uzalendo ndani ya Uwanja wa Taifa.

Simon Msuva akipambana na Glody Ngoda katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaoendelea Jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Taifa Stars
Kikosi cha DR Congo.
Hivyo makala TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0
yaani makala yote TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/taifa-stars-yairarua-dr-congo-bila.html
0 Response to "TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0"
Post a Comment