Loading...

TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI

Loading...
TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI
link : TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI

soma pia


TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI


Mmoja wa Waandaaji wa Tamasha la Pasaka 2018, Ufoo Saro akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya Tamsha hili ikiwa ni pamoja na kuwatambulisha waimbaji wengine waliweza kuungana kuleta utamu zaidi ndani ya Kanda ya Ziwa na vitongoji vyake. 

Waimbaji waliotangazwa ni Joshua Mlelwa (Kushoto) na Mwanamama Upendo Nkone (kulia).Ufoo Saro amesema kuwa suala la Usalam limezingatiwa vyema hivyo wajitokeze kwa wingi bila kukosa.

Katika Tamasha hilo, Mwimbaji Rose Muhando anatarajia kuzindua albamu yake ambayo amejiandaa kwa muda mrefu.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Joseph Mlelwa (kushoto) akitoa kiburudisho cha wimbo wake wa Yesu Anaweza aliouimba mwaka 2016. Mlelwa amesema kuwa amejiandaa vyema hivyo wakazi wa Mwanza na Simiyu wajitokeze kwa ngumu ili kuweza kufanikisha zaidi tamasha hilo. Tamasha la Pasaka Mwaka 2018 litafanyika Kanda ya Ziwa ambapo Aprili 1 itakuwa ndani ya Uwanja wa CCM - Kilumba na Aprili 2, 2018 ndani ya Uwanja wa Halmashauri, Simiyu. Mwimbaji Joseph Mlelwa ni mmoja ya waimbaji wa Kwaya ya Kijitonyama Upendo Group ambapo kwa sasa amekuwa akifanya kazi zake peke yake.
Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini, Upendo Nkone amethibitisha rasmi kushiriki Tamasha la Pasaka 2018 kwa kuwatoa hofu wakazi wa Kanda ya Ziwa wajitokeze kupata burudani ya kutosha ya kukata na shoka. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wakkitambulisha mbele ya waandishi wa habari (hawapo picha) Mwimbaji huyo amesema kwa sasa amejipanga vyema hivyo wakazi wa Mwanza na Simiyu wakitokeze kwa wingi.

"Sina cha kusema zaidi ya kuwaambia wakazi wa Mwanza na Simiyu wajitokeze kwa wingi maana nimejipanga kuwapa burudani ya kutosha ikiwa ni pamoja na kumshukuru bwana kwa matendo yake makuu aliyonitendea," amesema Nkone.


Hivyo makala TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI

yaani makala yote TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tamasha-la-pasaka-washiriki-wazidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA JOSHUA MLELWA NDANI"

Post a Comment

Loading...