Loading...

ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

Loading...
ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA
link : ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

soma pia


ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage, akiwapa pole Waathirika wa moto ulioteketeza vibanda vya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es Salaam. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.
 Kamaishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akimfariji kwa kumpa pole Mama lishe Bi. Fatma Hassan aliyeunguliwa na vitendea kazi vyake kufuatia tukio la kuungua kwa moto kwa soko la nguo Mbagala.  Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.
 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akikagua eneo la Soko la Nguo Mbagala lililoteketea kwa moto juzi. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.
Sehemu ya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es Salaam walioathirika na moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara hao juzi. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)



Hivyo makala ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

yaani makala yote ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/zimamoto-yawatembelea-waathirika-wa_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA"

Post a Comment

Loading...