Loading...

TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI

Loading...
TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI
link : TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI

soma pia


TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI


Meza kuu toka kushoto ni Janet Kisyombe, Harriet Shangarai, Dr. Sylvia Dasi ambaye ndio mwanzilishi wa Color of Roses Foundation na mwaka 2015 alishiriki na kujitolea kwenda Tanzania kutoa huduma za afya chini ya shirika lisilo la Kiserikali la African Women Cancer Awareness Associatiation na kulia ni aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Liberata Mulamula ambaye kwa sasa ni Acting Director Institute for African Studies Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo Washington, DC, nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.

Hawa ndio Tano Ladies walioratibu siku ya kimataifa ya wanawake iliyoadhimishwa rasmi March 8, 2018 Duniani kote na Tano Ladies wao kuisherehekea siku hiyo Jumamosi March 10, 2018 Brtonsville, Maryland na kuhudhuriwa na wanaDMV. Kutoka kushaoto ni Tuma Kaisi Katule, Iska J Kauga, Asha Nyang'anyi, Justa Mtalemwa na Asha Hariz walipokua wakijitambulisha., 

Tano Ladies wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao.

 Vikundi mbalimbali vya watoto wakitumbuiza kwenye sherehe ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake Duniani.
.
Kushoto ni Dj Maryam White katika picha ya pamoja na mdogo wake.
Wahudhuriaji wakifuatilia kinachoendelea katika siki ya kimataifa ya wanawake iliyoratibiwa na Tano Ladies siku ya Jumamosi March 10, 2018 Burtonsville, Maryland nchini Marekani.



Hivyo makala TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI

yaani makala yote TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tano-ladies-yasherehekea-siku-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND, MAREKANI"

Post a Comment

Loading...