Loading...

TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA

Loading...
TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA
link : TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA

soma pia


TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mkoani Rukwa wamesaini mikataba na wakandarasi 18 wa hapa nchini ili kufanyia matengenezo ya barabara za urefu wa kilometa 241.7 mkoani humo zitakazogharimu shilingi Bilioni 2.8.

Kati ya urefu huo barabara za kiwango cha lami kitakuwa ni km 1, changarawe km 77.91, udongo km 163.8 na kuweka alama za barabarani 123, ambapo pia kuna jumla ya vivuko 66 vitakavyotengenezwa vikiwa ni “drifts” 1 na makalavati ya aina mbalimbali 65.

Katika kutekeleza hilo TARURA ilizingazia kutoa kipaumbele kwa wakandarasi waliomo Mkoani Rukwa, na kati ya wakandarasi 18, 12 ni wakandarasi wa mkoa wa Rukwa ambao wanafanya asilimia 67 ya wakandarasi wote.

Awali akitoa hutuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Benard Makali ameasa kuwa na ufuatiliaji wa karibu wa kazi zinazofanyika ili zifanyike kwa kiwango kinachokubalika na kuhakikisha malipo yanafanyika kwa wakati ili kuwawezesha wakandarasi kukamilisha kazi kwa wakati.

“Serikali iko macho na haitasita kumchukulia hatua za kinidhamu mtumishi yeyote atakayebainika kuwa ameenda kinyume na matarajio ya serikali hii ya awamu ya Tano na kuuchafua Wakala huu na Serikali kwa ujumla kwa vitendo visivyo vya kimaadili.” Makali alisisitiza.
 Katibu tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Makali akikabidhi mmoja wa mkataba kwa mmoja wa Wakandarasi hao Luis Mamba muda mfupi baada ya kusaini mikataba hiyo. 
  Mwanasheria wa TARURA Mkoa wa Rukwa, Jery Simon akisaini miongoni mwa mikataba 18 iliyosainiwa na kukabidhiwa kwa wakandarasi. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA




Hivyo makala TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA

yaani makala yote TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tarura-kuifanyia-matengenezobarabara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TARURA KUIFANYIA MATENGENEZOBARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 241.71 RUKWA"

Post a Comment

Loading...