Loading...
title : TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI
link : TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI
TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo wajumbe hao wameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi ya Wakala wa Majengo nchini Tanzania (TBA) wanaojenga jengo hilo na kuwataka waukamilishe mradi huo kwa wakati kama ilivyopangwa.
Hivyo makala TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI
yaani makala yote TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tba-yatakiwa-kukamilisha-ujenzi-wa.html
0 Response to "TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI"
Post a Comment