Loading...
title : ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA
link : ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA
ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA
Na Emmanuel Masaka ,Globu ya Jamii
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga Abdalah Ulega ameweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Zahanati hiyo inayojengwa kwa nguvu za wanachi kwa kushirikiana na Mbunge huyo itagharimu zaidi ya Sh. million 98,ambapo mpaka sasa zaidi ya Sh. million 43 zimeshatumika katika ujenzi huo.
Huku zaidi ya Sh.million 50 zikihitahika kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa zahanati hiyo.Aidha katika kuhakikisha zahanati hiyo inakamilika kwa wakati Ulega aliendesha harambee kijiji hapo ambapo zilipatikana Sh. 430800,mifuko ya saruji 35, mabati 19 na ahadi 150000.
Hata hivyo, Ulega alimpongeza Mwenyekiti wa kijiji hicho cha Kibamba kwa kusimamia fedha za ujenzi wa jengo hilo kwa uaminifu."Huyu bwana ni muadilifu na mwaminifu wake ndio umefanikisha ujenzi wa jengo hili,hivyo natoa mwito kwa wanachi kuwa waaminifu pindi mnaposimamia miradi msitumie fedha kwa matumizi yenu," amesema.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga Abdalah Ulega kwa kushirikiana na watendaji mbalimbali akiweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga ,Abdalah Ulega aliendesha harambee kijiji hapo ambapo zilipatikana Sh. 430800,mifuko ya saruji 35, mabati 19 na ahadi 150000
Muonekano wa jego la Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga ,Abdalah Ulega akikagua ujenzi wa shule ya msingi Chatembo iliyopo kata ya Mwandege.
Hivyo makala ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA
yaani makala yote ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/ulega-aweka-jiwe-la-msingi-zahanati.html
0 Response to "ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA"
Post a Comment