Loading...

MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU

Loading...
MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU
link : MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU

soma pia


MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU


Na Karama Kenyunko,Globu ya Jamii
HALI ya taharuki imeibuka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutokea kwa mlipuko wa moto uliosababishwa na Transfoma.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mtendaji wa Mahakama hiyo, Gasto Kanyairita amesema moto huo umetokea saa nne asubuhi.
Amesema wakati mlipuko huo unatokea kulikuwa na kesi nyingi zikiendelea mahakamani.

"Baada ya kufuatilia tulibaini kuwa ni transformer ambapo ilisababisha kuungua kwa waya wa TTCL, simu na Internet ambapo shughuli za Mahakama zilisitishwa kwa muda," amesema.

Pia amesema shughuli za Mahakama zinaendelea ambapo data za kesi zipo salama.
"Niwatoe hofu Watanzania mlipuko uliotokea ni wa shoti ya umeme na ni kawaida kutokea, hivyo waepukane na taarifa za uongo,"amesema.


Mmoja wa mashuhuda tukio hilo, amebainisha kuwa walisikia kishindo kikubwa cha mlipuko ambapo iliwabidi wakimbizane kutoka nje ya Mahakama.

"Ilitubidi tutoke nje kutokana na hofu tuliyokuwa nayo, lakini tunashukuru hakuna madhara yoyote ya kibinadamu,".
 Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Gasto Kanyairita, akifafanua juu ya mlipuko uliotokea leo asubuhi na kusababisha taharuki kwa wananchi waliokuwepo mahakamani hapo.
Wananchi mbali mbali wakitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusikia mlipuko wa moto ndani ya mahakama uliosababishwa na Transformer.

 Gari la zimamoto likiwa limefika eneo la tukio


Hivyo makala MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU

yaani makala yote MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mlipuko-wa-transfoma-wasimamisha-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU"

Post a Comment

Loading...