Loading...

Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania

Loading...
Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania
link : Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania

soma pia


Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania

 Meneja wa kituo cha Data Centre cha kampuni ya Vodacom Tanzania, Imani Alimanya (kulia) akitoa maelezo kuhusu kituo hicho kinvyofanya kazi mbele ya waandishi wa habari waliotembelea kituo hicho. 
  Meneja wa IP/PACO wa kampuni ya Vodacom Tanzania akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea kituo cha Data Centre cha kampuni hiyo kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma cha kampuni ya Vodacom Tanzania, Jacqueline Materu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni hiyo kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
 Mwandishi wa Habari wa gazeti la The Citizen, Mnaku Mbani akiuliza swali wakati waandishi hao walipotembelea kituo cha Data Centre kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja


Hivyo makala Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania

yaani makala yote Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/waandishi-wa-habari-watembelea-kituo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania"

Post a Comment

Loading...