Loading...
title : WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO
link : WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO
WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO

Ngome ya vijana ya Chama cha ACT Wazalendo imewataka mawaziri wenye dhamana ya kusimamia viwanda, ajira na fedha kukaa pamoja kutafakari tatizo la ajira kwa vijana na kuweka mazingira bora ya ufanyaji wa biashara ndogondogo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Machi 10, 2018, Katibu wa Sera na Tafiti wa Ngome ya vijana wa chama hicho, Kitentya Luth amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kushuhudia wimbi la waajiri sekta binafsi na Serikali kupunguza wafanyakazi.
"Hata sekta ya elimu na viwanda ambazo awali zilikuwa zinatoa ajira nyingi nazo hali ni mbaya. Walimu hawajapata ajira kwa zaidi ya miaka mitatu, jambo hilo linasababisha mkwamo katika elimu lakini pia vijana hao wanashindwa kujikwamua kimaisha," amesema Luth.
Hivyo makala WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO
yaani makala yote WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/walicho-kisema-act-wazalendo-leo.html
0 Response to "WALICHO KISEMA ACT WAZALENDO LEO"
Post a Comment