Loading...
title : WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI
link : WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI
WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tantrade Tanzania,Jacqueline Maleko akizungumza wakati wa usiku wa Wanawake na tunzo kwa Mwanamke aliyefanikiwa kwa mwaka 2018 iliyoandaliwa na Tasisi ya Shangwe ambapo wanawake kutoka sehemu mbalimbali walikutana na kuzungumza mambo ya ujasilimali na namna ya kuvuka kutoka hatua moja hadi nyingine.
Mkurugenzi wa Tasisi ya I-learn East Afrika ,Noela Bomani(Kulia) Akikabidhi tunzo kwa Mwanamke aliyefanya vizuri na kuwa kivutio katika mafanikio yake katika kipindi cha mwaka 2017/2018 Joyce Ibengwe ambaye ni mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Kutoka kwa Tasisi ya waajiri nchini(ATE).
Mshindi wa Tunzo ya Mwanamke aliyefanikiw akwa mwaka 2017/2018 Joyce Ibengwe ambaye ni mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Kutoka kwa Tasisi ya waajiri nchini(ATE).akizungumza namna alivyopitia mpaka kufikia hatua hiyo kutoka kuitwa mama na watu mpka mke wa mtu.
Meneja Bima ya magari kutoka shirika la Bima ya Taifa (NIC) Emakulata Mwaitege, akizungumza umuhimu wa Wanawake kujiwekea bima katika biashara zao na maisha yao hili waweze kusimama tena pindi majanga yanapowakuta.
Hivyo makala WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI
yaani makala yote WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/wanawake-watakiwa-kuchangamana-hili.html
0 Response to "WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMANA HILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI"
Post a Comment