Loading...
title : BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
link : BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
BILIONI tano kukamilisha miradi ya Manispaa ya Kigamboni ambayo ni Ujenzi wa Zahanati, kituo hc afya pamoja na ujenzi wa barabara ya kuelekea Daraja a Mwalimu Nyerere.
Akifafanua kabla ya kuanza kutembelea miradi hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa yaa Kigamboni, David Sukali amesema kuwa miradi hii kutimiza irani ya chama cha mapinduzi ambazo ziliahidiwa katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Pia manispaa ya kigamboni inamradi wa kugawa pikipiki kwa kata za manispaa ya Kigamboni ambapo kila kata itapata pikipiki tano ambazo zitakuwa kwaajili ya vijana wa kata hizo kwaajili ya kujipatia kipato tofauti na wanavyoingia mikataba wanayoingia wanapata shida kubwa katika kikidhi mahitaji ya mikataba yao.
Miradi ya Manispaa ya Kigamboni ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kimbiji, ujenzi wa barabara ya kwenda Daraja la Nyerere, ujenzi wa Ofisi za Manispaa hyo pamoja na ujenzi wa Zahanati.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa yaa Kigamboni, David Sukali akizungumza na umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wafanyakazi wa Manispaa ya Kingamboni wakati wakielekea kwenye ukaguzi wa utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa kituo cha Afya cha Kimbiji katika Manispaa ya Kigamboni pamoja na ofisi za Manispaa hiyo jijini Dar es Salaam.
Mchumi wa Manispaa ya Kigamboni, Maximillian Manyuka akisoma matumizi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Kituo cha afya cha Kimbiji, ofisi za Manispaa ya Kigamboni pamoja, ujenzi wa Zahanati pamoja na ujenzi wa barabara ya kuelekea daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Musa Kilakala akizungumza na wafanyakazi wa Manispaa ya Kigamboni na baadae kueekea kukagua utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha afya cha Kimbiji, ujenzi wa barabara ya kuelekea Daraja la Nyerere, ujenzi wa Zahanati pamoja na ujenzi wa ofisi za Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, David Sukali (Mwenye suti ya Bluu) akitoa maelekezo kwa vijana wa Mkoa wa Dar es salaam na Viongozi wa vijana wa Manispaa ya Kigamboni katika Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kimbiji katika Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam
Ujenzi ukiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha afya cha Kimbiji katika manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam,Musa Kilakala akisaidiana na Wajenzi wa Kituo cha Afya cha Kimbiji kutandaza nondo katika ujenzi wa kiuo hicho.
Viongozi wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke akitembelea kwenye mradi wa ujenzi wa Ofisi za Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Msanifu Majengo, Edwin Mwangasa(Mwenye tishet Nyekundu)Akitoa maelezo jinsi Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Manispaa ya Kigamboni utakavyo kamilika pamoja na changamoto zinazomkabiri mhandisi huyo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Musa Kilakala akisaidiana na mafundi kuweka nondo katika ujenzi wa ofisi za Manispaa ya Kigamboni.
Uonekano wa Majengo ya Ofisi za Manispaa ya Kigamboni zitakapokamilika hapo baadae.
Hivyo makala BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
yaani makala yote BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/bilioni-tano-kukamilisha-miradi-ya.html
0 Response to "BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI"
Post a Comment