Loading...

WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO

Loading...
WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO
link : WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO

soma pia


WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO


Katika kijiji cha EWORENDEKE, kata ya KIMOKOUWA, Wilayani LONGIDO mkoani ARUSHA, kijiji hicho kipo takriban kilomita 4 kutoka Namanga, mpaka wa Tanzania na Kenya.

Hapo kuna Soko la Kimkakati la mifugo Longido, linalohusika na uuzaji wa mifugo kutoka mikoa takribani 7 ya hapa nchini Tanzania. Wafugaji huuza mifugo hiyo hapa nchini na nchi za jirani, soko hilo ambalo limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), limekuwa ni neema kwa watoto wa kaya zinazozunguka soko hilo.

Watoto wa wafugaji wa jamii ya kimaasai ambao ndiyo wanufaika wa soko hilo wameguswa na uwepo wa soko hilo kwa kupata maziwa ya mbuzi bure. Watoto hao hukamua maziwa hayo kutoka kwa mbuzi ambao hufikishwa sokoni hapo muda wa jioni na kusubiri kuuzwa usiku ambapo mnada wa mifugo kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi hufanyika sokoni hapo.

Mratibu wa Kitaifa wa Program ya MIVARF,Walter Swai, amebainisha kuwa tangu Program hiyo ianzishwe kutekelezwa rasmi mwaka 2011, katika mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar imekuwa ikichochea faida nyingi, zaidi ya malengo mahususi yaliyokusudiwa na Program ambayo, ni kufanikisha azma ya Serikali ya Tanzania ya kuongeza kipato kwa wananchi pamoja na uhakika wa chakula kwa kaya zenye kipato cha chini hususan maeneo ya vijijini.
 Baadhi ya watoto wa wafugaji, kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, Wilayani Longido wakipata maziwa kwa ajili ya matumizi yao kwa kukamua bure mbuzi waliofikishwa muda wa jioni katika Soko la kimkakati la mifugo Longido kuuzwa, Soko hilo limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF).
 Mmoja wa watoto wa wafugaji, kijiji cha Eworendeke, kata ya Kimokouwa, Wilayani Longido akipata maziwa kwa ajili ya matumizi yake kwa kukamua bure mbuzi waliofikishwa muda wa jioni katika Soko la kimkakati la mifugo Longido kuuzwa, Soko hilo, limejengwa na Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF).


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO

yaani makala yote WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/watoto-wa-wafugaji-waguswa-na-soko-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA KIMKAKATI LA MIFUGO LONGIDO"

Post a Comment

Loading...