Loading...
title : BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII.
link : BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII.
BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na Wakazi wa Bariadi waliojitokeza kwenye tamasha la Pasaka lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu.Tamasha hilo lilianzia mkoani Mwanza na baadaye kufanyika simiyu na jumapili hii ndani ya mkoa wa Dodoma katika uwanja wa Jamuhuri.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni ya Msama Promotions Ltd likiongozwa na Mkurugenzi wake Alex Msama.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akitambulishwa jukwaani mbele ya wapenzi wa muziki wa Injili (hawapo pichani) akiwa pamoja na baadhi ya vongozi wa wilaya ya Bariadi,mkoani Simiyu katika tamasha la Pasaka lililofanyika Jumatatu ya Pasaka katika uwanja wa Halmashauri Mjini humo.

Baadhi ya mashabiki wa muziki wa injili wakifuatilia yaliyokuwa yakifanyika kwenye jukwaa la tamasha hilo.
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba kibao chake kipya cha “Lazima Wakae” huku akicheza na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka ndani ya Jumatatu ya Pasaka,katika uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Kwaya ya Vijana KKKT-Kimanga wakiimba mbele ya wakazi wa mji wa Bariadi katika uwanja wa Halmashauri,siku ya jumatatu ya pasaka.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Joshua Mlelwa akiimba mbele ya mashabiki wake ndani ya uwanja wa Halmashauri mjini Baridi,ndani ya jumatatu ya Pasaka mkoani Simiyu.
Mwimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu Sifaeli Mwabuka akiwaimbisha washabiki wake mapema mwishoni mwa wiki jumatatu ya pasaka ndani ya uwanja wa Halmashauri mjini Bariasi mkoani Simiyu.Tamasha hilo lilianzia mkoani Mwanza na baadaye kufanyika simiyu na jumapili hii ndani ya mkoa wa Dodoma katika uwanaja wa Jamuhuri.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII.
yaani makala yote BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/baada-ya-tamasha-la-pasaka-kurindima.html
0 Response to "BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI WA DODOMA JUMAPILI HII."
Post a Comment