Loading...

WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

Loading...
WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA
link : WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

soma pia


WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwamba, itaendelea kutoa huduma ya ununuzi wa umeme (LUKU) kupitia mfumo wa malipo wa serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG).

Kufuatia mabadiliko yaliyotangazwa hivi karibuni na kampuni ya kuzalisha na kutoa huduma ya umeme nchini (TANESCO) kuhusu kuanza kutoa huduma ya kununua umeme kwa kupitia mfumo wa Serikali wa GePG, Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwatoa hofu Wateja wake kwamba wataendela kupata huduma ya kununua umeme ya LUKU kupitia Vodacom M-Pesa kama ilivyokuwa mwanzo.

Mfumo mpya utaiwezesha Tanesco kuunganisha mauzo moja kwa moja kutoka makampuni mengine ya simu na mabenki kwenda GePG ikiwa ni matakwa ya sheria kwa taasisi za Serikali.

Kutakuwa na ongezeko la asilimia moja nukta moja ya gharama halisi (1.1%) anayotozwa Mteja ili kununua umeme pindi atumiapo huduma ya M-Pesa. 

Vodacom inawahakikishia Wateja wake kwamba itaendelea kutoa huduma ya LUKU kupitia M-Pesa ambayo pia inapatikana katika App za Apple, na Android.

Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea www.vodacom.co.tz



Hivyo makala WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

yaani makala yote WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/wateja-vodacom-kuendelea-kupata-huduma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA"

Post a Comment

Loading...