Loading...

BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO

Loading...
BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO
link : BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO

soma pia


BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO


Mlinda mlango wa Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania akiwa langoni wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Mchezo huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana.
 Vijana wakiwa uwanjani wakimenyana.
 Mchezo ukiendelea.
 Picha ya pamoja.
Kikosi cha Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja. Wafanyakazi hao wamecheza mechi ya kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Uganda ilishinda kwa mabao 2 dhidi ya UBA (Tanzania) 0. Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni Dar es salaam jana.


Hivyo makala BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO

yaani makala yote BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/benki-ya-uba-yaendeleza-ujirani-mwema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO"

Post a Comment

Loading...