Loading...
title : BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA
link : BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA
BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amewasilisha Bungeni azimio la kuridhia Makubaliano ya Paris chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, Bunge limeridhia azimio hilo leo
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mhe. Innocent Lugha Bashungwa mara baada ya Bunge kuridhia Makubaliano ya Paris chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo (kulia) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mhe. Suleiman Sadiq mara baada ya kuahirishwa kwa shughuli za Bunge hii leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa Ofisi yake. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo na Bi. Butamo Phillip Naibu Katibu Mkuu.
Hivyo makala BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA
yaani makala yote BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/bunge-la-ridhia-azimio-la-makubaliano.html
0 Response to "BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA"
Post a Comment