Loading...

GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

Loading...
GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO
link : GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

soma pia


GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
KAMPUNI ya Global Education Link imeamua kutoa ushauri nasaha wa kitaaluma kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanafunzi wanafanikiwa kutimiza ndoto zao.

Imefafanua imeamua kutoa ushauri huo baada ya kuona wanafunzi wengi nchini hawana taarifa rasmi kuhusu vyuo vikuu na imesababisha wengi wao kushindwa kuchagua nini asome ili afanikishe malengo yake na matokeo kusababisha soko la ajira kuwa gumu.

Pamoja na hayo kampuni hiyo imesema ipo haja kwa Serikali kuunga mkono juhudi ambazo wamezianzisha katika kuhakikisha wanafunzi tangu wanapokuwa shuleni za msingi na sekondari wanajua mahitaji ya Taifa na nini asome ili kuwa na uhakika wa ajira.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Global Education Link Abdulmalik Mollel wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa kampuni hiyo kutoa ushauri nahasa wa kitaaluma ambao wameanza na tano na kidato cha sita kwa shule za sekondari za Mkoa wa Dar es Salaam.

Amesema malengo yao ni kutoa ushauri huo kwa wanafunzi wote nchini kuanzia elimu ya msingi kwani ndiko ambapo watalaam wa Taifa hili wanaoanzia kuandaliwa.
 Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akizungumza na wanafunzi walio fika kwenye semina hiyo.
 Mwanafunzi wa Shule  Sekondari Pugu,Christopher lyengwa akiuliza swali katika semeni hiyo iliyo fanyika katika ukumbu wa (GEL).
 Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
Afisa  Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam,Hamis Yusufu  Lissu akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa semina za kiwajegea uwezo  wanafunzi  wa Shule za Sekondari iliyoandaliwa na  Global Education Link (GEL).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

yaani makala yote GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/global-education-link-watoa-ushauri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO"

Post a Comment

Loading...