Loading...
title : Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini
link : Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini
Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini
Mwenyekiti wa Halimashauri ya Wilaya ya Morogoro, Kibena Kimu ambaye ni mgeni rasmi wa kongamano la haki za ardhi wilaya ya Morogoro akizungumza na wadau wa ardhi kuashiria ufunguzi wa kongamano hilo linalofanyika mjini Morogoro humo kwa siku mbili.
Mada kubwa katika kongamano hilo ni usimamizi sahihi wa mpango wa matumizi ya ardhi na uundwaji wa vyombo vya utatuzi wa migogoro ya ardhi jinsi vinavyosaidia kupunguza migogoro hiyo vijijini.
Meneja Miradi wa PELUM Tanzania, Rehema Fidelisi akizungimza juu kuwapatia hati miliki za kimila wanakijiji kutoka vijiji vya Mikese, Lubungo, Newland na Mfumbwe vilivyopo Wilayani Morogoro.
Afisa mradi wa mradi wa ushirika wananchi katika kusimamia sekta ya Kilimo (Sego), Anna Marwa akielezea na kuchambua mafanikio na Changamoto za utekelezaji wa mradi huo, katika mdahalo wa haki za ardhi wilaya ya Morogoro unaofanyika Wilayani humo kwa siku mbili.
Mhadhiri kutoka chuo cha Kilimo Sokoine ambaye ni mshereheshaji Emmanuel Malisa akizungumza katika Mdahalo wa haki za ardhi wilayani Morogoro.
Afisa Ardhi wa Maliasili Wilaya ya Morogoro, Wahida Beleko, akizungumza katika Mdahalo wa haki za ardhi wilayani humo unaofanyika kwa siku mbili mfululizo.
Hivyo makala Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini
yaani makala yote Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/pelum-yafanya-mdahalo-kwa-wakulima.html
0 Response to "Pelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro vijijini"
Post a Comment