Loading...

Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar

Loading...
Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar
link : Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar

soma pia


Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar

Total ambayo ni moja ya makampuni ya mafuta yanayoongoza nchini, imezindua huduma mpya na maalumu ya kuosha magari ijulikanayo kama “Total Wash” ambayo kwa sasa inapatikana katika vituo vya Africana, East Oysterbay na Port Access Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mauzo wa Total Tanzania, Nikesh Mehta alisema huduma hiyo mpya ina lengo la kuboresha huduma zinazotolewa na kampuni hiyo kwani wateja wataoshewa magari yao kwa haraka zaidi kwa kupitia utaalamu wa ‘jet wash.

“Tunalo lengo pia la kuhakikisha kuwa huduma zote zinapatikana katika kituo kimoja hasa kwa wateja wa Total ambao hawana muda mrefu wa kusubiri tutahakikisha wanapata huduma iliyo bora baada ya kujaza mafuta na kupata huduma nyingine za kiufundi tunazotoa,” alisema.

Alisema huduma hiyo imepokewa vizuri na wateja katika vituo vya Africana, East Oysterbay na Port Access.

“Kuna sehemu nyingi za kuosha magari lakini huduma hii ni ya kipekee kutokana na utaalamu na teknolojia inayotumika ambayo itahakikisha wateja wa Total wanapata huduma iliyo bora na ya viwango vya juu,” alisema na kuwataka wateja wengi zaidi wajaribu huduma hiyo.

Alisema kwa wateja wanaohitaji kutumia huduma hiyo, wanatakiwa kununua sarafu maalumu (token) katika maduka ya Total (Café Bonjour) yanayopatikana katika vituo vyao na kila sarafu itakuwa na kipimo cha muda kulingana na huduma inayotolewa..

Bw. Mehta alisema wana mpango wa kuanzisha huduma hiyo katika vituo zaidi nchini katika siku za hivi karibuni.

Total ina vituo 90 nchi nzima na inajivunia kwa kuuza mafuta na vilainishi vyenye ubora wa hali ya juu kama vile Total Quartz, Total Rubia na Special 4T lakini pia inajivunia kutoa huduma zinazoaminika na kukubalika kote.
Mmoja wa wahudumu wa Total akiosha moja ya magari kwa kutumia teknolojia mpya ya 'jet wash'.


Hivyo makala Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar

yaani makala yote Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/huduma-ya-total-wash-yazinduliwa-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar"

Post a Comment

Loading...