Loading...
title : IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
link : IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Kituo cha Polisi Mikumi mkoani Morogoro leo, wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi, ambapo aliwakumbusha askari wajibu wao wa kufanyakazi kwa kufuata sheria na taratibu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro Ulrich Matei, wakati akizungumza na askari wa Kituo cha Polisi Mikumi mkoani Morogoro leo, ambapo aliwakumbusha askari wajibu wao wa kufanyakazi kwa kufuata sheria na taratibu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na wadau welevu wa Jeshi hilo wanaojenga ofisi za kituo cha Polisi Usalama barabarani Mikumi mkoani Morogoro leo, wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/igp-sirro-akutana-na-kamati-ya.html
0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA KAMATI YA UKARABATI NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO"
Post a Comment