Loading...

JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI

Loading...
JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI
link : JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI

soma pia


JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI

Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee.

Mdee amekamatwa leo alfajiri uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini inakoelezwa alilazwa kwa matibabu.

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amethibitisha  kukamatwa kwa Halima Mdee ambapo amesema; "Ni kweli amekamatwa leo Saa 9 alfajiri  Airport, akitokea Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu na sasa yupo Central."

Mdee ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) huenda akaunganishwa na vigogo wengine sita akiwamo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe katika kesi inayowakabili.

Vigogo hao wengine tayari wamekwisha kupandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka nane.

Kukamatwa kwa Mdee kunafikisha watuhumiwa saba kati ya nane  ambao wamekwisha kuhojiwa mwingine ambaye bado na huenda anatafutwa na jeshi hilo ni mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche


Hivyo makala JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI

yaani makala yote JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/jinsi-mbunge-halima-mdee-alivyokamatwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JINSI MBUNGE HALIMA MDEE ALIVYOKAMATWA AKITOKEA AFRICA KUSINI"

Post a Comment

Loading...