Loading...
title : HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII
link : HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII
HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII
Jumla ya watoto 7 wamezaliwa siku ya leo Aprili Mosi, 2018, ambayo ni sikukuu ya pasaka, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya mahusiano ya hospitali ya Muhimbili, ambapo imeeleza kwamba watoto hao waliozaliwa wanne ni wa kike, huku wakiume wakiwa watatu, na wazazi sita wakiwa wamejifungua kawaida na mmoja kwa upasuaji.
Mama na watoto hao wote wapo salama na wanaendelea vizuri hospitalini hapo.
Hivyo makala HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII
yaani makala yote HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/hawa-hapa-watoto-walio-zaliwa-muhimbili.html
0 Response to "HAWA HAPA WATOTO WALIO ZALIWA MUHIMBILI PASAKA HII"
Post a Comment