Loading...

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix

Loading...
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix
link : Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix

soma pia

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix

Kampuni yenye mtandao wa simu za mkononi unaoongoza, Vodacom Tanzania PLC leo imetia saini mkataba wa ubia na kampuni ya iflix, yenye kutoa huduma ya burudani inayoongoza katika nchi zinazoendelea ili kuwapa wateja wa Vodacom huduma hiyo ya iflix bila kikomo. Kampuni hii ya burudani inawapa wateja wa Vodacom uwezo wa kuangalia maelfu ya vipindi bora duniani, sinema na mengine mengi kwenye kila kifaa walicho nacho. 

Mteja anatakiwa kupakua App ya iflix, ambapo hakutakuwa na malipo ya aina yeyote. Lakini kuna vifurushi maalum Mteja atabonyeza *149*01# kisha chagua intanet halafu kifurushi ikifuatiwa na iflix. Kwa sasa kuna vifurushi vya aina tatu, kifurushi cha siku kwa shilingi 1,000, cha wiki kwa shilingi 6,500 na cha mwezi kwa shilingi 18,000.

Akiongea na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kitengo cha Biashara Hashim Hendi alisema: “Vodacom, kampuni ya mawasiliano inayoongoza nchini imedhamiria kuiingiza Tanzania katika dunia ya kidijitali na njia mojawapo ya kudhihirisha hili ni kwa dhamira yetu ya kuwapatia wateja burudani isiyo na kifani ya kidijitali.

 Leo hili linahakikishwa kwa ubia wa kihistoria na kampuni ya iflix. Kuwahakikishia lengo letu la kutoa huduma inayomlenga mteja, siyo tu kuwa tunawapa wateja wetu uwezo wa kufikia burudani bora duniani lakini pia tunajenga jukwaa ambalo wasanii wataweza kutumia kuuza kazi zao. Hii ni hatua kubwa sana kwa Vodacom ikielekea kuwa kampuni ya kidijitali inayoongoza barani Afrika ambayo inawezesha maisha ya kidijitali ya wateja wetu. Tunafurahia sana kuwaleta wateja wetu zaidi ya milioni 12 kwenye huduma za iflix.”

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Iflix, Paul Coogan (Kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (katikati) wakati alipokuwa akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa ubia wa kibiashara baina ya iflix na Vodacom. Wateja watapakua apllication ya Playstore au istore ili kupata iflix yenye burudani za Sinema na vipindi vya TV kwa Kupiga *149*01# Kwa sasa kuna vifurushi vya aina tatu, kifurushi cha siku kwa shilingi 1,000, cha wiki kwa shilingi 6,500 cha mwezi kwa shilingi 18,000.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix

yaani makala yote Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kampuni-ya-simu-za-mkononi-ya-vodacom.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yaingia ubia wa kibiashara kampuni ya iflix"

Post a Comment

Loading...