Loading...

UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR

Loading...
UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR
link : UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR

soma pia


UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR

Mgeni Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma akitoa hotuba ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dar es salaam Zanzibar Dk. Matern S.P.Mtolera akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni rasmi  katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma kushoto akipatiwa maelezo kuhusiana na utafiti wa mwani na Mtafiti wa Mwani Dk. Flower Ezekiel Msuya katika ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Baadhi ya wanafunzi wa Sayansi  waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dar es salaam Zanzibar, Dk. Matern S.P. Mtolera akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja. Picha Na Yussuf Simai/Maelezo Zanzibar.




Hivyo makala UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR

yaani makala yote UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/ufunguzi-wa-sherehe-za-maonesho-ya-wiki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...