Loading...
title : Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni
link : Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni
KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upandaji Miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akipanda mti baada ya kuzindua zoezi la la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MKURUGENZI Mamlaka Mafunzo ya Amali Bakari Silima akipanda mti katika zoezi la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
Maafisa na Wanafunzi mbali mbali waliojitokeza katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar).

(Picha na Abdalla Omar Maelezo –
Hivyo makala Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni
yaani makala yote Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/katibu-mkuu-wizara-ya-elimu-na-mafunzo.html
0 Response to "Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni"
Post a Comment