KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHAlink :
KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
KIKOSI cha Yanga kinashuka leo dimbani katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika wakiwa ugenini dhidi ya timu ya Welayta Dicha kutoka Ethiopia.
Yanga inayoshuka dimbani wakiwa na ushindi wa goli 2-0 walioupata wakiwa nyumbani katika mchezo uliochezwa April 7 mwaka huu.
Katika mchezo wa Kwanza Yanga waliweza kucheza bila nyota wake watatu wakitumikia adhabu ya kuwa kadi mbili za njano ambao wamejumuishwa kwenye kikosi cha kwanza cha leo.
Yanga wakiwa chini ya Kocha msaidizi Noel Mwandila na Shadrack Nsajigwa kitashuka dimban katika uwanja wa Hawasa kutafuta ushindi wa aina yoyote, sare au kutokufungwa goli zaidi ya moja.
Matokeo hayo yanambeba Yanga na wataweza kuingia katika hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho ambapo wataweza kujinyakulia kitita cha mamilioni.
Youthe Rostand
Hassan Ramadhan
Haji Mwinyi
Abdallah Shaibu 'Ninja'
Kelvin Yondani
Pappy Tshitshimbi
Thabani Kamusoko
Raphael Daud
Pius Buswita
Obrey Chirwa
Yusuf Mhilu
Hivyo makala KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
yaani makala yote KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kikosi-kamili-cha-yanga-dhidi-ya.html
Related Posts :
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Hatua h… Read More...
VIGUTA YAWAPIGA TAFU VIJANA PIKIPIKI 15 KIBAHA
Meneja wa Vicoba group union Tanzania (VIGUTA)Mkoani Pwani ambae pia operesheni Meneja Taifa ,Iddi Kanyallu akimkabidhi mwenyekiti wa CHAMA… Read More...
ALIYEIPAISHA TUSIIME KITAIFA ATAKA KUWA DAKTARI WA MOYO
MWANAFUNZI Ibrahim Shaban wa shule ya Tusiime aliyeibuka mshindi wa kwanza kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa taifa kumaliza elimu ya ms… Read More...
WAZIRI MKUU AHIMIZA LINDI WAJIPANGE MAANDALIZI YA BARAZA LA MAULID KITAIFA
Mwambawahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Lindi na wana-Ruangwa watumie fursa zilizopo ili kufanikisha maandalizi ya she… Read More...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la korosho. “Hatutamuacha mtu yeyote atakayesababisha wakulima kuchelewa kulipwa fedha zao. Tutawakamata wote na kuwachukulia hatua stahiki.” Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili, Novemba 5, 2017) alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mbekenyera wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Waziri Mkuu alisema wakulima hao ni lazima walipwe fedha zao kwa wakati na asitokee mtu wa kuzitamani fedha hizo. “Mkulima amelima mikorosho mwenyewe, ameokotoa na kukodoa mwenyewe wao wamepewa dhamana ya kuziuza, hivyo wahakikishe wanawapelekea fedha zao na wala wasizitamani.” Pia Waziri Mkuu amewataka viongozi wa vyama vya Ushirika vya Msingi wahakikishe mkulima hakosi sh. 3,500 katika kilo moja ya korosho atakayoiuza baada ya kukatwa michango. Alisema bei ya juu ya korosho katika minada ya mkoa wa Lindi sh. ni 3,970 na ya chini sh. 3,800. “Vyovyote itakavyokuwa mkulima hawezi kukosa sh. 3,500, viongozi wa AMCOS mnisikie.” Waziri Mkuu alisema hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa bei ya zao la korosho pamoja na kupungua kwa makato ya mkulima ambapo kwa sasa hayazidi sh. 300 katika kilo moja ya korosho.
mwambawahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la koros… Read More...
0 Response to "KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA"
Post a Comment