Loading...
title : Makabidhiano ya vyeti vya shukrani
link : Makabidhiano ya vyeti vya shukrani
Makabidhiano ya vyeti vya shukrani
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” Meneja Mkuu wa Dar es Salaam Yacht Club (DYC) Bw. Brian Fernandes (kushoto) kwenye hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam mapema
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” nahodha wa Tanzania Sea Rescue (TSR) Bw. Ally Saleh Kitobe aliyeiwakilisha kampuni yake kwenye hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni zilizopewa vyeti vya shukrani “Certificate of appreciation” kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Brian Fernandes (wa tatu kushoto) kutoka Dar es salaam Yacht Club (DYC), Ally Saleh Kitobe (wa pili kushoto) kutoka Tanzania Sea Rescue na Issa Lwamba (wa pili kulia) kutoka Dar es Salaam Independent School (DIS). Makabidhiano yaliyofanyika mapema leo hii katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Makabidhiano ya vyeti vya shukrani
yaani makala yote Makabidhiano ya vyeti vya shukrani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makabidhiano ya vyeti vya shukrani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/makabidhiano-ya-vyeti-vya-shukrani.html
0 Response to "Makabidhiano ya vyeti vya shukrani"
Post a Comment