Loading...
title : MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON
link : MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano jana jioni alikuwa ni miongoni mwa Jopo lililojadili kuhusu sera za kumwinua mwanamke kiuchumi wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wanawake linalofanyika kama sehemu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea hapa London.
Kwenye jopo hilo Mheshimiwa Makamu wa Rais aliungana na Mhe. Dkt. Joseph Muscat, Waziri Mkuu wa Malta na wadau wengine wa masuala ya maendeleo ya wanawake.
Kwenye jopo hilo Mheshimiwa Makamu wa Rais aliungana na Mhe. Dkt. Joseph Muscat, Waziri Mkuu wa Malta na wadau wengine wa masuala ya maendeleo ya wanawake.



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-ashiriki-mkutano-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON"
Post a Comment