Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018
link : MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Chini kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret  Sitta (Chini Kulia) na Juu Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara ba Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimueleza jambo Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika.
PICHA NA MAELEZO


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/matukio-katika-picha-bungeni-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018"

Post a Comment

Loading...