Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
link : MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (katikati) bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Det. Harrison Mwakyembe kutoka bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya bange mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto) , Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi (wapili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/matukio-katika-picha-kutoka-bungeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO"

Post a Comment

Loading...