Loading...
title : Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.
link : Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.
Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Kamisaa wa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka uliozikutanisha Timu ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza mchezo wao wa Tamasha la Pasaka na wageni wao Timu ya Wazee Arusha Sports Club, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Viongozi wa Timu hizo wakiwasalimiana wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka.
Hivyo makala Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.
yaani makala yote Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mchezo-wa-tamasha-la-pasaka-kati-ya.html
0 Response to "Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1."
Post a Comment