Loading...
title : MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018
link : MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018
MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018
Ofisi ya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) pamoja na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), wanautaarifu Umma kuwa wameandaa Mkutano wa Wadau utakaojadili na kupokea maoni kuhusu utekelezaji wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.
Mkutano huu utawakutanisha Waajiri na Wanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) wa Mikoa ya Dodoma na Singida; na Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).
Eneo : Jengo la LAPF,
Mtaa wa Uhindini, Barabara ya Makole,
DODOMA.
Tarehe : 7 Aprili, 2018
Muda : 4:00 Asubuhi
Imetolewa na:
Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu,
Jengo la LAPF,
Mtaa wa Uhindini,
Barabara ya Makole,
S.L.P. 2890,
DODOMA, TANZANIA.
Hivyo makala MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018
yaani makala yote MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mkutano-wa-wadau-kati-ya-serikali.html
0 Response to "MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU MASUALA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI UTAKAOFANYIKA DODOMA SIKU YA TAREHE 7 APRILI, 2018"
Post a Comment