Loading...
title : Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar
link : Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar
Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akifafanua jambo kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wadau leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu akitoa taarifa ya hali ya soko la dawa nchini kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wadau hao jijini Dar es Salaam.
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof Appolinary Kamuhabwa akisisitiza jambo kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Geofrey Mwambe akielezea vivutio vya uwekezaji katika viwanda vya dawa nchini kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini, leo jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHLYz4Mez-G6pRWHwBYpHguYb3RvIXndEVZPvQborTNrnYUbzjHPRNLRS7jIsuTpBbnViERALajafiptxBraw6B19__wJx3QL69m-8a8tfpnupjJi0o7MxNiQ0hPp0GPRp8hnr6H6sekI/s640/Pix+00.jpg)
Baadhi ya wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini wakimsikiliza Mgeni rasmi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar
yaani makala yote Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mkutano-wa-wadau-wenye-nia-ya-kuwekeza.html
0 Response to "Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba wafanyika leo jijini Dar"
Post a Comment