Loading...
title : WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
link : WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Baadhi ya wakuu wa Taasisi zilizoko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma baada ya hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-awasilisha-bajeti-ya-ofisi.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU"
Post a Comment