Loading...

MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC

Loading...
MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC
link : MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC

soma pia


MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC



Ligi Kuu Bara imeendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika Uwanja wa Mwadui Complex kwa Mwadui ikikaribisha Mbao FC.

Mchezo uliopigwa majira ya saa kumi ulimalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC.

Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Charles na Ilanfya katika dakika ya 29 ya kipindi cha kwanza na kuweza kudumu dakika 90 zote za mpambano huo.
Matokeo hayo yanainusuru Mwadui kujiweka katika mazingira ya kutoshuka daraja baada ya kupata alama tatu muhimu na kufikisha jumla ya pointi 29 ikipanda mpaka nafasi ya 9 ya msimamo wa ligi.


Hivyo makala MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC

yaani makala yote MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mwadui-yajinusuru-kushuka-daraja-dhidi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC"

Post a Comment

Loading...