Loading...

SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA

Loading...
SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA
link : SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA

soma pia


SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA



Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) iliyokuwa irudi nchini Jumatano Alfajiri sasa inatarajia kurudi Alfajiri ya kuamkia Jumanne Mei Mosi, 2018.


Mabadiliko hayo yametokana na Baraza la Vyama na Vilabu Africa Mashariki na Kati CECAFA kubadili tiketi za ndege za Serengeti Boys.

Serengeti Boys wanaotarajia kutua kwa Shirika la Ndege la Rwanda Alfajiri saa 9 watapokewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.

Serengeti Boys wametwaa ubingwa huo wa Cecafa baada ya kuifunga Somalia katika mchezo wa fainali iliyochezwa Uwanja wa Ngozi kwa mabao ya EdsonJeremiah na Jaffar Juma Mtoo.

Katika mashindano hayo Serengeti Boys ilitoka sare 1-1 na Uganda kabla ya kuifunga Sudan 6-0 na baadaye kuichapa Kenya kwa mabao 2-1 kwenye nusu fainali na kushinda mabao 2-0 dhidi ya Somalia kwenye mchezo wa fainali


Hivyo makala SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA

yaani makala yote SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/serengeti-boys-kutua-jumanne-alfajiri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERENGETI BOYS KUTUA JUMANNE ALFAJIRI, WAZIRI MWAKYEMBE AJIANDAA KUWAPOKEA"

Post a Comment

Loading...