Loading...
title : NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO
link : NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO
NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO
Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, akihutubia viongozi na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wakati akifunga kikao cha pili cha baraza hilo kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), akizungumza na wajumbe wa baraza hilo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, kufunga kikao cha siku ya pili cha baraza hilo, mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), kabla ya kufunga baraza hilo lililokutana kwa siku mbili, mkoani Morogoro.
Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (hayupo pichani), wakati akifunga kikao cha siku ya pili ya baraza la wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO
yaani makala yote NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/naibu-waziri-kwandika-afunga-baraza-la.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO"
Post a Comment