Loading...

NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI

Loading...
NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI
link : NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI

soma pia


NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile  akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizindua kanuni za sheria ya uongozi wa hospitali za watu binafsi katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk Otilia Gowele na Kulia ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk Otilia Gowele na Kulia ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akimkabidhi cheti cha shukrani kwa aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali za watu  binafsi Dkt.Mohamed Ally Mohamed katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.
  Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya ushauri wa hospitali za watu binafsi mara baada ya kuizindua leo katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO-DODOMA.



Hivyo makala NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/naibu-waziri-ndugulile-azindua-bodi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI"

Post a Comment

Loading...