Loading...
title : POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI
link : POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI
POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI
Askari polisi E. 1156 William Marwa amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu mkazi wilaya ya Tarime, akikabiliwa na shtaka la mauaji ya Saguta Chacha ambaye ni mdogo wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche.
Mshtakiwa huyo amesomewa kesi ya mauaji namba, PI 76/2018 mbele ya Hakimu A.R. Kahimba leo Aprili 30.
Askari huyo anayedaiwa kutenda kosa hilo Aprili 27 hakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza shauri hilo.
Hivyo makala POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI
yaani makala yote POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/polisi-anayedaiwa-kuua-mdogo-wake.html
0 Response to "POLISI ANAYEDAIWA KUUA MDOGO WAKE AFIKISHWA MAHAKAMANI"
Post a Comment