Loading...

AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO

Loading...
AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO
link : AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO

soma pia


AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO

 Na Said Mwishehe, Blog ya jamii
AZAKI tano kwenye Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na uwajibikaji katika rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia nchini Tanzania(TEITI) zimpongeza Ripoti ya Nane ya taasisi huku wakishauri fedha zinazopatikana kwenye madini zitumike kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kesho.

Kwa mujibu wa Azaki hizo zisizo za kiserikali ambazo ni Publish What You Pay(PWYP-TZ), Gender and Disability , Interfaith base, Trade Union na Corventional NGO,s ambazo si za kiserikali

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu ripoti hiyo ambayo imezinduliwa rasmi na Waziri wa Madini Angella Kairuki, Mjumbe wa TEITI kutoka Azaki hizo za kiraia anayewakilisha Taasisi za kidini, Grace Masalakurangwa amesema baada ya kuzinduliwa kwa ripoti hiyo ni vema ikafikishwa kwa umma.

Ambapo wamefafanua ni vema pia ripoti hiyo ikawekwa kwenye lugha rahisi na nyepesi kueleweka na kwa kufanya hivyo itasaidia watu wengi zaidi na wa makundi mbalimbali kuichambua.

"Tumewaita waandishi wa habari kwa lengo la kuwaelezea namna ambavyo tumefurahishwa na kupongeza  ripoti ya TEITI ambayo imezinduliwa leo. Ombi letu kwao ni vema ripoti hiyo ikawekwa kwenye lugha rahisi ili iweze kuchambuliwa," amesema Masalakurangwa kwa niaba ya azaki hizo ambazo zimesisitiza uzinduzi ni jambo moja na wananchi kutoa maoni yao ni hatua nyingine.

Pia ametoa ombi sasa umefika wakati wa Serikali kutunga kanuni kuhusu sekta ya madini ingawa wanatambua sheria ya madini ya mwaka 2015 ipo lakini wanaamini kukiwa na kanuni kutasaidia kwani sheria hiyo inazungumza kwa upana zaidi.

Akifafanua kuhusu fedha ambazo zinapatikana kwenye eneo la madini, mafuta na gesi asilia ni vema Serikali ikahakikisha zinatumika katika kufanya mambo yenye tija kwa kizazi cha sasa na kijacho na kueleza wao ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya TEITI lakini wanayo nafasi ya kuchambua na kutoa maoni yao kuhusu ripoti ambayo imezinduliwa.
 Mjumbe wa TEIT kutoka Asasi za Kiraia anayewakilisha Taasisi za Kidini, Grace Masalakurangwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ripoti iliyozinduliwa na  Waziri wa Madini, Angellah Kairuki leo Jijini Dar es Salaam.
 Mjumbe kutoka PWYP-TZ, Petro Ahham akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwajibikaji wa serikali kwenye rasilimali za Tanzania ili kuwanufaisha wazawa.


Hivyo makala AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO

yaani makala yote AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/azaki-tano-za-kiraia-wapongeza-ripoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA MADINI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO"

Post a Comment

Loading...