Loading...
title : PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON
link : PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON
PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON
Beatrice anayefundisha lugha ya Kiswali chuo kikuu cha Massachusetts akimwelezea Profesa Alwiya Omar kabala profesa hyuyo hajapewa tuzo hiyo. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio
Kulia ni Profesa Alwiya Omar ambaye ni Clinical Professor of Linguistics and Afrcan Languages wa chuo kikuu cha jimbo la Indiana akipokea tuzo ya Walton ya ufanisi wa utafiti na ufundishaji wa lugha za kigeni Marekani siku ya Jumamosi April 21, 2018 katika hotel ya Hyatts Regecy, Dulles Virginia.
Profesa Alwiya Omar akipata picha ya pamoja na maprofesa wenzake wanaofundisha katika vyuo vya Marekani siku ya Jumamosi April 21, 2018 katika hotel ya Hyatts Regecy, Dulles Virginia, siku alipopokea tuzo ya Walton.Profesa Alwiya Omar akiongea mara baada ya kupokea tuzo hiyo.
Profesa Alwiya Omar akipata picha na wadau
Profesa Alwiya Omar akipata picha na Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV.
Hivyo makala PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON
yaani makala yote PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/profesa-mtanzania-chuo-kikuu-indiana.html
0 Response to "PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON"
Post a Comment