Loading...

MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA

Loading...
MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA
link : MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA

soma pia


MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akimsikiliza Mjumbe wa Baraza hilo, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), Enea Mrutu alipokuwa masuala ya usalama barabarani katika kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu, akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), wakati wa kikao cha Baraza hilo lililokua linajadili masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA

yaani makala yote MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/masauni-aongoza-kikao-cha-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...