Loading...
title : Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano
link : Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano
Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,[Picha na Ikulu.] 25/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,[Picha na Ikulu.] 25/04/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano
yaani makala yote Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dk-shein-awasili-dodoma-kuhudhuria.html
0 Response to "Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano"
Post a Comment