Loading...

WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

Loading...
WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA
link : WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

soma pia


WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (kushoto) akiwasili chuo cha Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mtwara ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini kulia ni Mkurugenzi wa TPSC Tawi la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika,ziara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati) akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa TPSC Tawi la Mtwara Dkt. Emmanuel Shindika (kushoto) akiwa katika moja ya madarasa ya chuo hicho tawi la Mtwara ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kutembelea matawi ya chuo hicho nchini, ziara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni watumishi wa chuo hicho.
Kwaya ya TPSC tawi la Mtwara ikitoa burudani mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Hayupo pichani), aliyefanya ziara fupi chuoni mwishoni mwa wiki sambamba na kupokea taarifa ya tawi na kusikiliza changamoto za watumishi na wanachuo.
Baadhi ya wanachuo wa Chuo cha Utumishi wa Umma TPSC tawi la Mtwara, wakimsikiliza kwa makini waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Hayupo pichani), aliyefanya ziara fupi chuoni hapo mwishoni mwa wiki sambamba na kupokea taarifa ya chuo na kusikiliza changamoto za watumishi na wanachuo.


Hivyo makala WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

yaani makala yote WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuchika-atembelea-tpsc-tawi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA"

Post a Comment

Loading...