Loading...
title : RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI
link : RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI
RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji , Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Eneo la ufukwe wa Mpigaduri,Maruhubi linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira, Salama Aboud Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Siara Ubwa Mamboya (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji , Mustafa Aboud Jumbe (Kushoto) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum ya kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum alipotembelea Eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Mji Mpya wa kisasa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati walipofika eneo hilo.
(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI
yaani makala yote RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dkshein-atembelea-mpigaduri-na.html
0 Response to "RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI"
Post a Comment