Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara Dkt. Juma Ngasongwa walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kuwajulia hali wagonjwa leo Aprili 18, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Celestine Bulima walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kuwajulia hali wagonjwa leo Aprili 18, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa leo Aprili 18, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli nakiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa leo Aprili 18, 2018 .Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-ajulia-hali-wagonjwa.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment